Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Tatizo hili analo mtu wangu wa karibu kamaliza sua 2020 hii sasa anashindwa kabisa pakuanzia mkuu yani kijana anaanza kuchanganyikiwa tusaidiane jamani aya mamboMfano ukisoma SUA cheti kinatoka department ya Veterinary Medicine... Hapo unakosa kwasababu ya department .
Tatizo hili analo mtu wangu wa karibu kamaliza sua 2020 hii sasa anashindwa kabisa pakuanzia mkuu yani kijana anaanza kuchanganyikiwa tusaidiane jamani aya mambo
Kwaio kija ajipange kuomba vetenary stationsIyo koz zaman walikuwa wanachukuliwa afya Ila saiv naona wapo chin ya wizara ya mifugo kazi wanafanyia TVLA maabara za wanyama.
Asante sana mkuu umenipa mwanga wa kumpaHawa biotechnologist waliondolewa kufanya kwenye hospitals sababu hawajasoma human anatomy so they cant work wth human.... Its true that most ya lab technitian wa hospital wanakusnya sample wenyewe.. mfano damu kwenye ila hawa wa sua na ud pia they where not trained kufanya hvyo....
Shida ni lab za mifugo zinahesbika ila output ya chuo ni kubwa sana... Miaka ya karibuni admission imekuwa kubw sana wana maliza mpaka miambili kasoro na ajira hamna ni changamoto sana.Iyo koz zaman walikuwa wanachukuliwa afya Ila saiv naona wapo chin ya wizara ya mifugo kazi wanafanyia TVLA maabara za wanyama.
Sad story na ukizingatia wamesoma kwa matesoShida ni lab za mifugo zinahesbika ila output ya chuo ni kubwa sana... Miaka ya karibuni admission imekuwa kubw sana wana maliza mpaka miambili kasoro na ajira hamna ni changamoto sana
Sio coz yakusoma this years kwakweli grduate wake wengi wako mtaa na kujiari ni ngumu sana
Shida ni lab za mifugo zinahesbika ila output ya chuo ni kubwa sana... Miaka ya karibuni admission imekuwa kubw sana wana maliza mpaka miambili kasoro na ajira hamna ni changamoto sana.
Sio coz yakusoma this years kwakweli grduate wake wengi wako mtaa na kujiari ni ngumu sana
Unakuta kijana anasoma course ambayo ina malimitation daaa inauma nyie
Yes ni vitu viwili tofauti issue hawa vijana bio tech na lab wa sua wanamaliza wengi na wana wa term under vetenary so wanashindwa kuajilika kwa medical lab sasa si watakufa njaa jamanini vitu viwili tofaut mmoja fundi mashine za maabara mwingine ni mwanamaabara
So wafight izo few chance zilizopo du.....hatariBiotechnologist.. Hajaandaliwa kuja kuja kupima malaria na HB..wala kupima makund ya damu.. Io ni kazi ya laboratory technician.. Tunamuhitaj biotechnologist kwenye afya kama mtu wa tafiti zaid afanye tafit kuusu mambo mbalimbali ikiwemo maabara za afya.... Idea nying za vipimo vya maabara ni tafit za biotechnologist.... Biotechnologist agundue Kipimo flan lab technician aje atumie icho Kipimo kuwahudumia wagonjwa.. Thats all
Ile sasa kibongo bongo biotechnologist chance chache ila kwa mataifa yaliyoendelea ni watu muimu Sana..
NB: biotechnologist & laboratory technician kila mtu ana kazi zake ila kibongo bongo lab technician ina market kuliko biotechnologist!..
Hawa biotechnologist waliondolewa kufanya kwenye hospitals sababu hawajasoma human anatomy so they cant work wth human.... Its true that most ya lab technitian wa hospital wanakusnya sample wenyewe.. mfano damu kwenye ila hawa wa sua na ud pia they where not trained kufanya hvyo.
This guys from sua wako so good though kwenye vitendo na wamekuwa trained vizuri sana
Last tym magu alikuja sua aliambiwa hilo swala ila naona hamna ufatiliaji kabisa..
Kama unamdogo wako anataka kusoma hyo coz mshauri abadilishe itamtesa na miaka hii ubora wake pale college yangu ya veterinary medicine ni mdogo sna.
Kudaclare interest im a vetenarian so i know the course we shared the college
Ni nzuri kwa upande wangu..Unaizungumziaje BSc. Human Nutrition ya hapo SUA