Changamoto kwenye Whatsapp business

Changamoto kwenye Whatsapp business

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
884
Reaction score
1,432
Nimekuwa mdau sana wa kufanya biashara kupitia mtandao na njia yangu kubwa ya kuinteract na wateja ni kupitia Whatsapp.

Hivi karibuni napata tatizo la kufungiwa (ban) mara kwa mara kutumia Whatsapp business, na sababu wanayoisema ni kwamba namba yangu imekuwa registered kwenye simu nyingine.

Namba tatu sasa zimeshafungiwa napata hasara na mteja anaweza asikuamini tena akajua ni mwizi.

Kama kuna mtu ameshakutana na hali hii aje kushare nasi shida iko wapi hasa.
 
Mkuu ulijaribu kutumia namba moja kwa Whatsapp moja labda kwa ule mfumo wa ku crone
 
Naomba nitumie fursa hiihii kuuliza vizuri whatsapp business na jinsi inavyofanya kazi
 
Nimekuwa mdau sana wa kufanya biashara kupitia mtandao na njia yangu kubwa ya kuinteract na wateja ni kupitia Whatsapp.

Hivi karibuni napata tatizo la kufungiwa (ban) mara kwa mara kutumia Whatsapp business, na sababu wanayoisema ni kwamba namba yangu imekuwa registered kwenye simu nyingine.

Namba tatu sasa zimeshafungiwa napata hasara na mteja anaweza asikuamini tena akajua ni mwizi.

Kama kuna mtu ameshakutana na hali hii aje kushare nasi shida iko wapi hasa.
MWONGOZO UTAUPATA MKUU,
KWANI WANAKUJA KUKUPA.
 
Mkuu pole, mimi ni miongoni mwa developer katika ushauri wa feature, na nimeanza kutumia whtsapp Business tangu inaanza mpaka sasa hiyo shida inawakuta watu wanao crone namba na hii huwa inahesabika katika wizi ndio maana siku hizi ni lazima tuverify buiness na namba ya biashara.

Ushauri kuwa na namba ya biashara maalum na gmail yake wala usiweke personal data katika namba ambayo ni ya biashara
 
Back
Top Bottom