Mkuu ulijaribu kutumia namba moja kwa Whatsapp moja labda kwa ule mfumo wa ku croneNimekuwa mdau sana wa kufanya biashara kupitia mtandao na njia yangu kubwa ya kuinteract na wateja ni kupitia Whatsapp.
Hivi karibuni napata tatizo la kufungiwa (ban) mara kwa mara kutumia Whatsapp business, na sababu wanayoisema ni kwamba namba yangu imekuwa registered kwenye simu nyingine.
Namba tatu sasa zimeshafungiwa napata hasara na mteja anaweza asikuamini tena akajua ni mwizi.
Kama kuna mtu ameshakutana na hali hii aje kushare nasi shida iko wapi hasa.
MWONGOZO UTAUPATA MKUU,Nimekuwa mdau sana wa kufanya biashara kupitia mtandao na njia yangu kubwa ya kuinteract na wateja ni kupitia Whatsapp.