Carina
Senior Member
- Jan 4, 2011
- 194
- 70
Wakuu,
Nina changamoto hapa ambayo naiona. Mke wangu ni mjamzito na Mungu akipenda tunategemea mwezi wa tano, anafanyia kliniki hospitali ya Aga Khan na tunakaa Mbezi mwisho.
Sasa kutokana na hii adha ya barabara inayojengwa ya Morogoro ambapo kama mjuavyo kwa sasa ni janga la foleni, nafikiria siku uchungu umemshika na halafu ndo hvyo tena foleni mpaka town sijui itakuwaje kwani Aga Kgan hawatoi kadi ya kliniki kabisa hivyo lazima akajifungulie Aga Khan.
Sasa nataka kujua ni kweli Aga Khan hawatoi kadi ya kliniki au inawezekana ni mke wangu hawakuelewana na maofisa wa Hospitali? Mi niko mkoa kidogo nilitaka ufaham juu ya hili.
Asanteni