fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Wala usipanick kuondoka kwa Nabi, hii ni changamoto mpya kwako, pambana nayo ana kwa ana na wenzio. Bahati nzuri unazungukwa na wataalamu, tafuteni kocha mpya maana hili mlilijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu subiri bana, Mayele tutaanza kumsifia baada ya kuondoka. Tusije kumsifia alafu akabaki, tutaficha wapi sura zetu sisi Makolo?Bora nabi aondoke,maana tulikosa raha, na yule mayele hakuna wa kumchukua?