fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hebu subiri bana, Mayele tutaanza kumsifia baada ya kuondoka. Tusije kumsifia alafu akabaki, tutaficha wapi sura zetu sisi Makolo?Bora nabi aondoke,maana tulikosa raha, na yule mayele hakuna wa kumchukua?