S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Aug 22, 2018 #1 Naomba nifahamu changamoto na faida ya kufuga mbuzi kibiashara. Maana leo nimetazama kwenye TV habari kwamba mbuzi wa elfu sabini ameuzwa lakj na sabini. Hivyo nimetamani kufuga mbuzi kuanzia leo
Naomba nifahamu changamoto na faida ya kufuga mbuzi kibiashara. Maana leo nimetazama kwenye TV habari kwamba mbuzi wa elfu sabini ameuzwa lakj na sabini. Hivyo nimetamani kufuga mbuzi kuanzia leo
manzi james Senior Member Joined Sep 29, 2017 Posts 194 Reaction score 136 Aug 23, 2018 #2 Ukifahamishwa nitag
Gachuma jr JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 839 Reaction score 451 Aug 26, 2018 #3 manzi james said: Ukifahamishwa nitag Click to expand... Bado kimya mkuu