Changamoto na faida za kufuga mbuzi kibiashara

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Naomba nifahamu changamoto na faida ya kufuga mbuzi kibiashara.

Maana leo nimetazama kwenye TV habari kwamba mbuzi wa elfu sabini ameuzwa lakj na sabini.


Hivyo nimetamani kufuga mbuzi kuanzia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…