D dido2010 New Member Joined Feb 21, 2010 Posts 2 Reaction score 2 May 18, 2020 #1 Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing? Nakaribisha wadau mchangie mada. N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo.
Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing? Nakaribisha wadau mchangie mada. N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo.
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,950 Reaction score 5,378 May 18, 2020 #2 Affiliate marketing ni nini? Sisi la NNE B tupate mwangaza kidogo tinaweza kuwa na mchango.
D dido2010 New Member Joined Feb 21, 2010 Posts 2 Reaction score 2 May 18, 2020 Thread starter #3 Avriel said: Affiliate marketing ni nini? Sisi la NNE B tupate mwangaza kidogo tinaweza kuwa na mchango. Click to expand... Affiliate Marketing ni kazi yaku-promote bidhaa mtandaoni inayotengenezwa au kumilikiwa na mtu mwingine kwa makubaliano yakulipwa commission katika faida inayopatikana, percentage ya faida inajulikana kabla haujaanza kupromote hiyo bidhaa.
Avriel said: Affiliate marketing ni nini? Sisi la NNE B tupate mwangaza kidogo tinaweza kuwa na mchango. Click to expand... Affiliate Marketing ni kazi yaku-promote bidhaa mtandaoni inayotengenezwa au kumilikiwa na mtu mwingine kwa makubaliano yakulipwa commission katika faida inayopatikana, percentage ya faida inajulikana kabla haujaanza kupromote hiyo bidhaa.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Mar 2, 2021 #4 dido2010 said: Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing? Nakaribisha wadau mchangie mada. N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo. Click to expand... Mbona uliingia mitini?
dido2010 said: Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing? Nakaribisha wadau mchangie mada. N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo. Click to expand... Mbona uliingia mitini?