Changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano๐Ÿ’”

hadithi ya mapenzi haikamiliki kwa kumalizika kwake, bali kwa jinsi tunavyokua na kujifunza kutokana nayo.
Nimeipenda hii, ila sijajua why mliachana kizembe hivyo... Anyway hadithi nzuri ila matukio mengi umeyabana sana, kwahiyo mtu anaposoma anashindwa kuelewa ni baada ya muda gani hili lilitokea.

Uandishi wako ni wa pekee sana, I don't know kama ndivyo ulivyo au uliamua kuandika katika mtindo huu, ni kwamba hii Hadith imekosa ile emotional halisi ya kibinadamu (hii nacho ni kipaji ambacho sijawahi kukiona kwenye hadithi yoyote niliyowahi kuisoma)

All in all pole sana mkuu.
 
Asante Thecoder ...nitajitahidi wakati mwingine
 
Utoto tu ndugu yangu
Ila angeniambia mapema huenda ningejaribu kuendana na hali
 
as if ni mashikolo mageni, utafikiri ni fiction za Erick Shigongo, but it is a TRUE LIFE and well narrated.
 
Ndio hicho najaribu kufanya kwa Sasa mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi nilijua kuwa utakuwa labda ulijua mapema kuwa alikuwa na mtoto, kumbe ulikuwa hukujuwa kuwa alikuwa na mtoto ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ