Habibatamimu
Member
- Oct 1, 2026
- 17
- 17
Kama ulikuwepo vile 😂😂, tatizo madam kasema ana mtaji mdogoWape mabinti wa kike warembo wapite kuuza maofisini. Kuna wanaume kazi zao katika hizi ofisi ni kununua chochote kinachouzwa na mabinti
JIbu zuri sanaHongera sana. Mi sio mambo yangu, ila wakati tunasubiria wataalamu, Nina haya ya kushauri:
1. Ungejaribu kuanza na majirani kuwaonesha bidhaa zako, ata kuwapa sample kidogo. Ukisacrifise 1L unaweza wapa ata majirani watano na kuendelea. Kama bidhaa nzuri, watakusuport, na wao watakua mabalozi kwa wenzao.
2. Kuhusu WhatsApp, wengi ni ndugu, Jamaa, marafiki, classmates etc kwahiyo kama tunavyosumbuliwa kwenye michango ya harusi, wasumbue inbox sio status, mfuate mmoja mmoja inbox, waambie unabidhaa hii na hii na hii, kwa Bei hii, watakuungisha. Kama bidhaa nzuri, watarudi na watakutangazia kwa wenzao.
3. Kama jirani/mtaani kwako Kuna Guest Houses, Lodge, Bars, Shule za boarding, Dispensary nk karibu bahati Yako, kaongee na wamiliki/maboss/meneja, unaweza kuwapa ata sample, wakiridhika na huduma Yako, watakua wateja wa kudumu.
4. Kuhusu Instagram, Facebook, TikTok imagine wewe uko Dar hafu anaview mtu yupo Mwanza, kweli atasema Nitulie Lita 5?
My point, bidhaa Yako wateja wako wengi ni majirani zako, anzia locally kuibrand, itasambaa Mdogo Mdogo. Jitahidi iwe bidhaa boraz Bei nzuri na huduma Yako iwe yente.
Kila lakheri mpambanaji, utatoboa.
NB: Kama upo kwenye mji/jiji lenye watu wengi, Kwanini usianzishe na huduma ya usafiri majumbani, kufua kwa machine (drycleaner) etc kwasababu inaendana na bidhaa zako. Wabongo wavivu sana.
NIngependa kuuliza package zako unatumia labels au ziko kwenye package tu?Nmeanza biashara ndogo ya kutengeneza CLEANING PRODUCTS mwenyewe. Natengenaza bidhaa kama sabuni ya maji,jiki,na dawa ya tiles na sink n.k
Changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kupata wateja na kuitambulisha brand yangu.
Nmejalibu kutumia Facebook, tiktok , instagram na whatsup lakini bado response ni ndogo sana.
Wakat mwingine naposti bidhaa lkn hakuna anaye jibu wala kuulizo😔😓
Mtaji wangu pia ni mdogo, hivyo siwezi kutumia pesa nyingi kwenye matangazo au kugawa sampo kwa watu wengi.
Ningependa kupata ushauri kutoka kwa watu ambao wamewahi kuanza biashara wakiwa na mtaji mdogo.
Ni njia gani mlitumia kupata wateja wa kwanza na kuifanya brand yenu kujulikana?😔
Naweka leboNIngependa kuuliza package zako unatumia labels au ziko kwenye package tu?
Wanasema label huongeza thamani ya bidhaa
Sawa ntachukuwa ushauli wako asanteHongera sana. Mi sio mambo yangu, ila wakati tunasubiria wataalamu, Nina haya ya kushauri:
1. Ungejaribu kuanza na majirani kuwaonesha bidhaa zako, ata kuwapa sample kidogo. Ukisacrifise 1L unaweza wapa ata majirani watano na kuendelea. Kama bidhaa nzuri, watakusuport, na wao watakua mabalozi kwa wenzao.
2. Kuhusu WhatsApp, wengi ni ndugu, Jamaa, marafiki, classmates etc kwahiyo kama tunavyosumbuliwa kwenye michango ya harusi, wasumbue inbox sio status, mfuate mmoja mmoja inbox, waambie unabidhaa hii na hii na hii, kwa Bei hii, watakuungisha. Kama bidhaa nzuri, watarudi na watakutangazia kwa wenzao.
3. Kama jirani/mtaani kwako Kuna Guest Houses, Lodge, Bars, Shule za boarding, Dispensary nk karibu bahati Yako, kaongee na wamiliki/maboss/meneja, unaweza kuwapa ata sample, wakiridhika na huduma Yako, watakua wateja wa kudumu.
4. Kuhusu Instagram, Facebook, TikTok imagine wewe uko Dar hafu anaview mtu yupo Mwanza, kweli atasema Nitulie Lita 5?
My point, bidhaa Yako wateja wako wengi ni majirani zako, anzia locally kuibrand, itasambaa Mdogo Mdogo. Jitahidi iwe bidhaa boraz Bei nzuri na huduma Yako iwe yente.
Kila lakheri mpambanaji, utatoboa.
NB: Kama upo kwenye mji/jiji lenye watu wengi, Kwanini usianzishe na huduma ya usafiri majumbani, kufua kwa machine (drycleaner) etc kwasababu inaendana na bidhaa zako. Wabongo wavivu sana.
AsanteBiashara/bidhaa mpya huchukua 1-2yrs kupenya sokoni. Consistency yako ndio itakuwahisha. Usichoke kujitangaza. Biashara imani na strategies.
Sitoweza kuwalipa labda nipite mwenyewe..asante kwa ushauliWape mabinti wa kike warembo wapite kuuza maofisini. Kuna wanaume kazi zao katika hizi ofisi ni kununua chochote kinachouzwa na mabinti
Sawa ntaongeza juhudi...AsanteBiashara/bidhaa mpya huchukua 1-2yrs kupenya sokoni. Consistency yako ndio itakuwahisha. Usichoke kujitangaza. Biashara imani na strategies.
Hilo ndiyotatz🤔Kama ulikuwepo vile 😂😂, tatizo madam kasema ana mtaji mdogo
Mimi sabuni zangu zina povu na pia zina perfume nzuri..Biashara mpya, huwa inapitia changamoto ya kupenya sokoni
Kwahiyo utatakiwa kuendelea kuitangaza
Anza kuwatembelea wenye Lodges na Guest house, iwapo utakuwa na products nzuri huwezi kukosa wateja
Mimi nina Lodges, na ninatumia sabuni nyingi kwa mwezi
Lakini shida ni kuziamini sabuni nyingine, mara zote natumia Dexi kufulia na kudekia
Kuna jamaa nilimuungisha sabuni nyingi kutoka Arusha, lakini nimeishia kupata hasara maana sabuni zake hazina povu na hazinukii kama Dexi
Basi anza kuwapitia wateja hao niliokutajiaMimi sabuni zangu zina povu na pia zina perfume nzuri..
lakini pia hata dawaya tiles na sink inang'arisha na hata dawa ya madoa ya kwenye nguo ni nzuri majirani zangu wanaisifia..
Kiukweri sina shaka na bidhaa zangukwenye utendaji kaz wake