Changamoto ninayoipitia kwenye biashara yangu ya CLEANING PRODUCTS.

Sawa...Asante
 
Pole sana...
Jaribu kuzipeleka kwenye maduka patana nao hata mbili tatu wazi display kwenye maduka yao, jaribu kwenye maduka mengi uwezavyo kwa watakaokubali...


Cc: Mahondaw
 
Wewe upo wapi kwanza penye mzunguko wa watu ili tukushauri.
 
Kwamfano iyo post uliyoitoa ungeweka na poster za product yako? Weka kwenye profile watu wataizoea taratibu brand inatengenezwa kwa muda mrefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…