OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kupata namba ya simu ya demu ni mchakato hasa kwa wale wazee wa kujishtukia
Juzi kati nikasafiri toka Dom kwenda Mwanza. Pembeni nina pis kali anashuka Buhongwa. Wote tulichangamka sana na mastori ya kila aina. Mara chache sana tulikuwa kimya ukiacha ile mida ya kusinzia. Drinks na bites tuligharamia kwa zamu.
Nikajua hii pisi nitajaribu bahati yangu next time muhimu nipate namba. Nikiwa na uhakika siwezi kunyimwa namba sababu tulishakuwa washkaji sana.
"Niachie namba ntakuchek" nikamuomba kwa sauti ya chini huku nikimpa simu yangu aiandike. Daah bila kutegemea yule manzi akanijibu kwa sauti kubwa " Asaa namba yangu ya nini,nyie wanaume wasumbufu bana,siwezi hilo sahau"
Abiria jirani wakageuka kuona changamoto nazopitia. Kwa kweli iliniuma sana,nilijisikia soo hatari. Mpaka leo huwa inaniuma.
Mwingine aliniomba urafiki FB. Nikamuona nitanue huduma kama Gwaji Boy. Nikamzamia inbox kumuomba namba. Akapiga picha yale mazungumzo akaweka kwenye page yake kulalamikia wanaume wanaomsumbua kuomba namba. Nilimpigia magoti akaifuta ile post.
Kwa hiyo watia nia tunapata changamoto nyingi katika kuomba namba.
Tufanye nini kutatua changamoto hizi?