Kula aisee ...acha uoga kwenye menu.....kula na usiposhiba usiogope kusema.Hello jf members, niko ugenini leo, nimekwenda kumtembelea member wa jamii forums
Sijui nimtaje? [emoji3][emoji3]
Msosi umeletwa, mko mnakula, ukajikuta unaujiuliza wewe na Mungu wako,
"Mungu, hivi huu ni wakati sahihi kweli kumega tena tonge..? Au nisubiri subiri kidogo[emoji848][emoji849]"
Ishawahi kukukuta? [emoji23][emoji23]
Nawewe tupia changamoto yakoView attachment 2278139
ntateseka kwenye mengine ila sio kula tena kama mwenyeji wangu tumezoeana woiiii hata sivungiHello JF members, niko ugenini leo, nimekwenda kumtembelea member wa Jamii Forums
Sijui nimtaje? [emoji3][emoji3]
Msosi umeletwa, mko mnakula, ukajikuta unaujiuliza wewe na Mungu wako,
"Mungu, hivi huu ni wakati sahihi kweli kumega tena tonge? Au nisubiri subiri kidogo[emoji848][emoji849]"
Ishawahi kukukuta? [emoji23][emoji23]
Nawewe tupia changamoto yakoView attachment 2278139
[emoji23][emoji23][emoji23] ikawajeIlikuwa day two nilikuwa nimeenda kuwatembelea familia fulani, nyakati za jioni nikawa nachajia simu jikoni, chaja nikaiacha huko huko. Usiku wa manane nashtuka ndo nakumbuka, ikabidi ninyate kimyakimya ili nisikutilizwe wakanihisi vibaya. Nikawa nimeingia mle jikoni, mle ndani wanafuga njagu[emoji23] Yule paka kuniona ndo kuhaha, akaparamia mi vyombo kwenye beseni iliyokuwa juu ya kindoo kidogo, sahani za udongo na chupa ya chai vikashuka chini, kelele zikasikika!
Muda huo chaja haipo hata, kumbe kuna mwanadada aliondoka nayo chumbani kwake [emoji23][emoji23]
Kabla sijaenda kulala, nilipoenda kuchukua simu, kulikuwa na nyama kwenye sufuria, sasa muda huo niko nahaha, naona fupa moja kwenye sufuria
Ilikuwa ni kawaida mle ndani, nyama kufichwa kwa kuwa watoto wa mle ndani basi tu!
Nikaskia mlango unafunguliwa kwenye chumba kimojawapo
Itaendelea:
HahahahaIlikuwa day two nilikuwa nimeenda kuwatembelea familia fulani, nyakati za jioni nikawa nachajia simu jikoni, chaja nikaiacha huko huko. Usiku wa manane nashtuka ndo nakumbuka, ikabidi ninyate kimyakimya ili nisikutilizwe wakanihisi vibaya. Nikawa nimeingia mle jikoni, mle ndani wanafuga njagu[emoji23] Yule paka kuniona ndo kuhaha, akaparamia mi vyombo kwenye beseni iliyokuwa juu ya kindoo kidogo, sahani za udongo na chupa ya chai vikashuka chini, kelele zikasikika!