Umeme wa Solar uko Overrated, ni Mchongo wa kibiashara tuPoleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Vifaa vingi vya Solar Sokoni ni feki hasa batteries.Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Ili uinjoy solar inatakiwa uwekeze mzigo ,sasa N80 na panel ya 100Watts kweli unataka ikae muda mrefu? Umeme wa Solar ni mzuri sana ila unatakiwa uwe na mzigo hasa ili ufurahie.Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Solar panel fake kapimePoleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Asante kiongoziKama vyote ni vizima fumua nyaya kuna leakage au jaribu kuweka battery yako sehemu kavu hata ikiwezeka itoe kwanza uifute yote ili hizo terminal zijitegemee coz ni kama kuna kaunyevu flan kanasababisha mvutano wa hasi na chanya. Au chomoa nyaya za kusupply power {output} kwa masaa matatu ili battery ishke chaji i mean nyaya za kutoka kwa battery kwenda kwa inveter au ipunguzie mzigo punda amelemewa. 80watts inawasha mataa mangapi, tv inch ngap, na mizigo mingne kama mzigo ni mdogo make sure umechange hako ka inveter kamepatwa na mshtuko yaan kana short.
Hapo toa maelezo kuhusu betri yako,na vifaa gani (appliances) unazotumia yaani betri yako ina Ah ngapi?Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Ni sundar hiyooo!!!Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
N80 labda ungekuwa nazo 4 na pannel hizo za watt 100 2 hapo unge enjoy sanaPoleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Tatizo gharama Ni Kubwa sana.Ili uinjoy solar inatakiwa uwekeze mzigo ,sasa N80 na panel ya 100Watts kweli unataka ikae muda mrefu? Umeme wa Solar ni mzuri sana ila unatakiwa uwe na mzigo hasa ili ufurahie.
Kwa mfano umejaza pannel za watts 200(Pieces 20) nusu paa zima ,halafu una batery za RITA za N200 kama 15 ,hivi kweli utahitaji Tanesco au utalalamika kwamba umeme unawahi kuisha? Nikiwa na mzigo nafunga kama hivyo halafu Tanesco naiweka kama backup tu kwenye Taa za nje Kubwa Usiku na kurun friji/majiko/motor za geti.
Ila Taa za ndani ,kuchaji simu ,TVs ,Radio zote ni Solar 24/7
Ni kweli ,ukitaka kuenjoy solar inatakiwa uwekeze "MZIGO" aka "MPUNGA" aka "CHEDDAR" hasa.Tatizo gharama Ni Kubwa sana.