Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Mkuu acha kuingilia fani za watu,mchawi ni tasisi kubwa kama ilivyo kwa taasisi za serikali,

Eti akitaka kukuloga hadi akanunue vitu,are you sure?

Story za vijiweni mbaya sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Yuko sahihi mkuu wanapata tabu sana kuroga watu haswa mtu anapokuwa yuko vizuri wanasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwengine kuongeza nguvu na kununua uchawi mpya na kununua vifaa ili lengo lao lifanikiwe
 
Ufipa mtu wenu huyu
 
Unafikiri kuna kazi isio hitaki vifaa???
Yeye hadi kujiita mchawi jua tayar nyenzo anazo, kuongezea moja haoni tabu.
 
Ndo maana nikifa nilishasema sitaki nipelekwe mochwari, acha nizikwe juu kwa juu Mshana Jr note my words
Umeanza kuandika wosia au niporojo tu, mm bimkubwa alisema nikifa nizikwe hapahapa town msinipeleke kijijini kule noma Sana kea ulozi natujafanya ivo
 
Mkuu acha kuingilia fani za watu,mchawi ni tasisi kubwa kama ilivyo kwa taasisi za serikali,

Eti akitaka kukuloga hadi akanunue vitu,are you sure?

Story za vijiweni mbaya sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Umenivunja mbavu eti uchawi ni taasisi kubwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
nakazia
Mshana jr.mchawi akivaa suti na ndiga kali akaachana na ungo halogi au.
kwann sura nying za wachawi znatisha san wakati kuna vitu vya kuwafanya wawe wazurii tu.
 
Hivi inakuwaje mlozi anaroga hadi mtoto wake wa kumzaa, hapo ndo niliona hayo ni ma-mtu ya hovyo. Ila ukiamini katika Mungu Mwenyezi hayo machawi wala hayakunyimi usingizi, unakuwa na amani kabisa...
 
Ndo maana nikifa nilishasema sitaki nipelekwe mochwari, acha nizikwe juu kwa juu Mshana Jr note my words
Duu usiogope mkuu,wewe Nenea mwili wako kwa maombi ya damu ya Yesu na ukisema inakuwa.Tunaamini Sisi tumeumbwa kwa mfano wake na kupewa pumu na Mungu so chochote ukisema kwa kumaanisha kinakuwa.Anza kutest vitu vidogo vidogo ukiona inafanya kazi basi Nenea mwili wako usiguswe na kitu chochote cha kishirikina
 
Halafu utasikia eti; "Mpe mchawi alee mwanao".🀣

Over my dead body.
 
Utapeli tu.
Uchawi upo, lakini liite Jina lipitalo majina yote, Yesu Kristo, na utaona hao wachawi wanavyo kimbia kama hawana akili nzuri.
 
Hahahah ni taasisi ile, tena kubwa tu.

Humu si sehemu salama....

Sa mtu anakuambia hao wana Serikali unaona dogo Hilo?!!!
Yaani rais wao ana watu wanaomzunguka walioshiba,mikononi mibunduki km ile ya wale makiriri na motorcades za ving'ora huku na kule loooh
 
Mkuu, usingizi umenishika sijui..naona nyota nyota tu sijaelewa.
 
Lakini si wanasema kwamba Africans are the Original people of the Earth? πŸ€” how come wazungu walifanya uchawi kabla yetu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesahau kugusia kitu muhimu kwamba Pesa za Kichawi hazifanyi kazi kwenye Maisha yetu ya kawaida.....

Unaweza Kuta Binti mdogo mchawi, ana pesa za Kichawi 10 millions, but katika Maisha ya Kawaida hana hata 10,000 .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…