Hamna shida mkuu nimekuelewaI did my own special way ..ndio maana leo niko huru kabisa
Hakuna wachawi hapa kuna wazugaji tuHongera kwa kuachana na hayo mambo ya kuharibu maisha ya watu na kuangamiza watu!
Ukifunguka hapa utasaidia na wengine waweze kuacha kabisa
Wako na tester pia?hata mimi nimecheka pale aliposema wachawi wanakwenda kupata training za kuji update kama watu wa IT/programming.
Na pia alinichekesha pale aliposema kuna vifaa vingine huwezi kuvipata hadi uwe na connection,na lazima uwe na tester kabla ya kwenda kuroga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jamaa vitu alivyoviandika ni vya ukweli,kuna majirani zetu uswahilini ni wachawi wana hizo tabia zote jamaa alizozitaja
ndio wako na tester.Wako na tester pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Yani platinum member unashidwa kutumia quote!!!?Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Hizi ni ajali za kawaida na hii mitego iko popote
Mchawi hatumii pesa kupata malighafi
Vp ukiwapiga picha kwa smart phone?ndio wako na tester.
Mimi huwa nikilala usiku huwa wanakuja basi cha ajabu nikianza kufungua tu macho nawaona wamekaa mbali mita 100 kisha wanaruka na kupotea,kwa hiyo huwa nashindwa kuzitambua sura zao
Naona hujasoma kila kitu angalia post #65Yani platinum member unashidwa kutumia quote!!!?
mchawi hana akili,kinachonifurahisha zaidi ni ile mchawi anamroga mtoto wake wa kumzaa mwenyewe na kumlea.Wanachonifurahisha ni wanatumia nguvu nyingi sana ila return of investment hata hamna
Yaaan huu uzi umenifanya nicheke sana leo khaaa[emoji1787][emoji1787]Wachawi nao watuache tu maisha yenyewe ya Sasa uchawi tosha
😂😂😂😂Wanatuchosha sanaYaaan huu uzi umenifanya nicheke sana leo khaaa[emoji1787][emoji1787]
Uwekezaji wote huo, una faida gani kwake?Uzi mfupi**
Wachawi wanapatia changamoto nying wanapotaka kukuroga, kwanza inabidi atafute pesa ya kununulia Vifaa Vya kazi
Kununua Vifaa Vya kazi ni gharama kubwa na Muda mwingine itamlazimu kusafiri ata nje ya Mkoa ili akanunua kifaa icho cha kukurogea
Kwa mfano Kuna uchawi mwingine ili ufanyike mchawi ataitaji maji ya maiti
upatikanaji wa maji ya maiti ni mgumu sana,
Yani inabidi uwe na koneksheni ya kufa mtu ili upate maji ya maiti na maana muda mwingine unaweza uziwa maji feki
Kwaiyo katika hali kama iyo mchawi inabidi atoe pesa ndefu ili kufanikiwa
Mchawi ni mtu mbishi sana yana hakubali kushindwa kabisa
Kitu ambacho kinamuumiza sana mchawi ni pale anapotumia nguvu nying kukuroga alafu ww unaleta dharau
Yani yeye anapokuroga anataka kuona matokeo yani anataka kukuona umepaniki
Mchawi Anaskia raha sana pale anapoona kwamba umepaniki alafu umekimbilia kwa mganga
Changamoto kubwa kwa mchawi ni kuona kwamba badala ya kupaniki lakini ww ukamua kufanya ibada yan ukasimama na MUNGU
Mda mwingine mchawi inabidi akijifunze teknolojia ambayo itamsaidia kukuroga
Hapa inabid aende kozi iyo maalumu na inabidi alipie pesa kwa ajili ya kupata utaalamu
Upatikanaji wa Vifaa Vya kurogea imekuwa changamoto kubwa kwa Wachawi
Maana katika maduka ya kawaida ya asili havipatikani
Madalali wanaouza Vifaa Vya kurogea wamekuwa wakiwauzia wachaw Vifaa ivyo kwa bei juu sana
Kwa mfano mchawi ili aingie kwako lazima awe na testa ili aone kama kuna mtego au hamna
Testa ya kichawi inauzwa bei juu sana maana bila ya testa unaweza jikuta unaingia mtegoni
Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini
Mara nyingine mchawi anajikuta anamadeni mengi sababu anataka afanikiwe kukuroga
Akishakuroga itambidi afatilie mara kwa mara maendeleo yako ili aone kama uchawi unafanya kazi
Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows
AsanteniView attachment 1495584