Munio
Member
- May 12, 2019
- 17
- 14
Hivi wakuu kutokana na changamoto ya ajira ambazo vijana wetu wanapitia nashangaa eti dokta au nesi haruhusiwi kufungua duka la dawa muhimu š¤£.
Hivi alieturoga nani? Tuwahaurumie vijana wetu jaman uwekwe utaratibu kuruhusu waliosoma afya kufanya hio huduma Kwa kufuata utaratibu ajira zenyew Kwa mwaka elfu 7 na hapo ni kada zote.
Kuna haja ya wizara kulipitia hili.