A
Anonymous
Guest
Mimi ni mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy nimemaliza toka Februari mwaka huu. Natamani sana kuomba chuo, pia natamani sana kuomba mkopo lakini mpaka sasa chuo kimetuangusha hawajatupandisha level na mpaka muda huu hatuma AVN asilimia 99.8% ya wanafunzi tuliomaliza Machi na Septemba mwaka huu hatujui nini tufanye.
Tumehangaika lakini wapi hatuna msaada wowote na hatujui nani tumlilie. Tunateseka sana kwa changamoto hii na hili limekuwa jambo la kawaida kwao kila mwaka mambo ndio haya haya dah !
Tunapitia wakati mgumu sana