Changamoto ya dada zetu kuwa ombaomba mtaani

Na wengi wa ombaomba hao hukutana na kadhia ya kubomolewa vinyeo.
 
Sahihi kabisa nchi za ulimwengu wa tatu sio Ke tu hata Me tunapitia msoto sio poa. Dola 4 ni kama 10k, hela nyingi sana kwa vipato vyetu tulio wengi.
 
Wametanguliza sana shida zao mbele, Vikoba vinawachanganya, wanatamania kwa asilimia kubwa kila kitu wawe nacho. Hawataki kuishi katika uhalisia wa kutokuwa nacho, kwa sasa wanawake wengi wanajiuza kwa siri.
 
Wengi wanaingia na gia ya kuomba nauri.

Wengine huja na style ya "kaka samahani sijala toka asubuhi naomba unisaidie buku nipate chakula".

Hua nawabless tu ila najua wanakua kazini.
Bar ndio balaa. Hauwezi kukesha viwanja bila kuombwa bia. Halafu ni kama wananusa mfukoni kuna nini. Siku ukiwa na hela nyingi mfukoni wanakuja kama nyuki
 
Masimp ni sehemu ya tatizo
 
Mimi na allergie na wanawake omba omba.

Yaani, ukiomba omba Huwa natabia za kuto kukupa pesa.

Bora pesa nikupe mwenyewe kwa utashi wangu.

Ukiomba omba Huwa nageukaga like lijamaa la kwenye muvii ya SOLO

NB. UMASKINI NI LAANA
Mtu mzima bora uombe kazi utaeleweka. Lakini kuomba hela tena mara kwa mara sio kitu kizuri
 
Hapa mjini kati ma Binti wanaomba pesa za nauli mpaka unashangaa, Maisha ni magumu sana jamani,
Tutumie uzazi wa mpango
Wazazi nao hawawajibiki ipasavyo. Unakuta anaona binti yake anabadilisha mitindo ya kusuka na fashion za nguo wakati hajatoa hela yeye. Lakini anashindwa hata kumuhoji binti yake hela anatoa wapi
 
Baki na hela zako na wao wabaki na utelezi wao.
 
Mbali na wanawake anbao ni omba omba, ila wanaume ni wengi omba omba wengine na nguvu zao
Upande wa jinsia me bado haijawa epidemic ukilinganisha na jinsia ke. Mfano uende bar ni nadra sana mwanaume kukuomba umnunulie bia
 
Mwanamke akishaniomba pesa najua hajitambui baada ya kuomba mchongo ufanye kazi unaomba pesa nawaitaga takataka wanawake wa aina hiyo
 
Angalia wanawake wenye tabia za kupenda kuombaomba hawapendi kufanya kazi maslay qeen flani takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…