ricochetmarcus
Member
- Jan 30, 2024
- 7
- 0
Changamoto niliyoielezea hapa JamiiForums katika kata za misughaa na Kikio Singida imetatuliwa, kwa sasa mnara wa simu wa TTCL.
Hauna kususua inaonekana mamlaka husika zimeshughulika nakutatua hii changamoto.
Asante viongozi kwa uwajibikaji
Pia, soma: KERO - TTCL iangalie huduma za mawasiliano Kata za Kikio na Misughaa Mkoani Singida