ricochetmarcus Member Joined Jan 30, 2024 Posts 7 Reaction score 0 Dec 1, 2024 #1 Changamoto niliyoielezea hapa JamiiForums katika kata za misughaa na Kikio Singida imetatuliwa, kwa sasa mnara wa simu wa TTCL. Hauna kususua inaonekana mamlaka husika zimeshughulika nakutatua hii changamoto. Asante viongozi kwa uwajibikaji Pia, soma: KERO - TTCL iangalie huduma za mawasiliano Kata za Kikio na Misughaa Mkoani Singida
Changamoto niliyoielezea hapa JamiiForums katika kata za misughaa na Kikio Singida imetatuliwa, kwa sasa mnara wa simu wa TTCL. Hauna kususua inaonekana mamlaka husika zimeshughulika nakutatua hii changamoto. Asante viongozi kwa uwajibikaji Pia, soma: KERO - TTCL iangalie huduma za mawasiliano Kata za Kikio na Misughaa Mkoani Singida
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Dec 1, 2024 #2 Huko nako porini sana, minara ipo makiungu, labda barabara ya kwa mtoro ipandishwe hadhi ndio eneo hilo litaondokana na tatizo hilo
Huko nako porini sana, minara ipo makiungu, labda barabara ya kwa mtoro ipandishwe hadhi ndio eneo hilo litaondokana na tatizo hilo
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,497 Reaction score 16,180 Dec 1, 2024 #3 Hivi hii nchi bado kuna watu wanatumia ttcl kwa mawasiliano?