benjykulture
New Member
- May 1, 2023
- 4
- 1
Hakuna slang ya Kenya utakosa kwa internetDo you know slangs? Sahau kupata slangs Kwa internet it's like wakenya makalio mnaita nyash😂 but hio haipo google
Nimeona neno ndaki sijaelewa ni niniLakini kiswahili cha Tanzania hua vipi?
Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽♂️.
Mm mwenyewe nayo pande wa kilifi lakini kuna maneno watanzania hutumia hasa wale wa bara hatuelewi. Mwazo wale wa nyimbo za singeli.Kiswahili halisi kinazungumzwa Pale Malindi na Kilifi Kenya.