Changamoto ya ku-login Twitter

Changamoto ya ku-login Twitter

sisi ni ndugu

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
121
Reaction score
136
Natumai tuko vizuri wadau,

Nina changamoto yaku login kwenye account yangu ya Twitter almost wiki ya 2 sasa. Nikijaribu kwa mda mrefu inaandika authorizing ila lastly inaandika error, kwenye option yaku forget password au to create new account pia haitaki, natumia iphone 6 plain, na kila aina ya setting nimechokonoa ila wap. Wajuzi wa hizi mambo naomba msaada wenu.

Tatizo ni nini?
 
Wakati Wewe ukisema kuwa umepata Changamoto hii Wiki ya Pili sasa Wenzako sasa tunamaliza Mwezi wa Pili tupo nayo ila sasa tumeshaizoea kwakuwa imetufanya tujue vyema kutumia VPN ambayo huwa inatusafirisha Kihisia mara kwa mara nchi mbali mbali duniani.

Hata hivyo Ugomvi wa Mkemia wa UDSM na Ujerumani pamoja na Adui yake Mkubwa Twita Mgogo ukimalizika tu TCRA watatuonea Huruma na Kuiachia pia.
 
Mkuu Twitter bila vpn huingii sijui kwann,nahis Kuna Kitu TCRA wameshindwa kukirudisha walipochokonoa kipindi CCM wanaiba kura za Mh Lissu.
 
Back
Top Bottom