Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Ushawahi kujiuliza kwa nini wanaume waliofanikiwa wanaoa la Saba B? Au kwa nini kinamama wengi wenye kazi zao na pesa nyingi hawajaolewa?
Zama zimebadilika, zamani wanaume walifanya shughuli zote za kiuchumi huku wanawake wakibaki kuwa nyumbani, kutokana na maendeleo na kubadilika kwa mtindo wa maisha tunashuhudia wote (ME na KE) wakishiriki kikamilifu kwenye ajira.
Zifuatazo ni baadhi ya changamoto za kuoa mfanyakazi:
1)Malezi -mama 40% ,house girl 60% kwa kuwa muda mwingi mchana atakuwa kazini itamlazimu kuajiri mdada wa kazi (maarufu Kama house girl) ili majukumu ya nyumbani yaende ipasavyo. Hapo omba Mungu House girl asiwe na tabia za ajabu, asije kumrithisha mwanao.
2)Sahau kuhusu Lunch iliyopikwa na Mkeo 😃
Umetoka kazini haujisikii vizuri? Umemisi kula chakula cha mchana nyumbani, well mkeo bado anapambana kutimiza malengo ya ajira yake. Nyumbani utamkuta house girl anaangalia tamthiliya.
3)Kazini kuna kazi -Work life balance ni changamoto
Imagine anaamka saa kumi na moja asubuhi na kurudi saa mbili usiku daily jumatatu mpaka ijumaa. Kama ana shift za usiku hapo usiseme, hali hii inachosha mwili na akili, akikuambia kachoka hatanii. Ni tofauti Sana ukiwa na bi Aisha wa Tanga anakusubiri nyumbani
4)Morning Sex isiyo na viwango -anawahi kazini 😂😂
Labda uamke saa 9,raha ya kuichapa ni kumuacha mtu anagaragara na kupitiwa usingizi wa kisulisuli. Siyo kuulizwa -UNAMALIZA SAA NGAPI?
5)Hasira zisizo na kichwa wala miguu -Kuna watu wanakera huko maofisini, asipokuwa makini atazileta nyumbani.
6)Sahau kuhusu mshahara wake -YOU'RE FATHER OF THE HOUSE
Nani alisema kwa kuwa unamuoa mfanyakazi wa TRA, sasa utapunguza majukumu? Nakuhakikishia yako palepale na yataongezeka zaidi. Ukitaka mchokane fasta anza kumpangia matumizi 😃
7)Mungu Saidia watoto wetu -Akijifungua mtoto hanyonyi vizuri
Zama hizi maziwa ya unga yametawala Sana, na chupa za kukamua yote sababu anatakiwa kazini kabla mtoto hajafikia umri wa kula peke yake. HAPA NAWATETEA, Tatizo kubwa liko kwa waajiri, hawawapi kinamama muda wa kutosha kunyonyesha na kuwalea watoto wao ipasavyo.
Niitieni CORPORATE LADIES /SERIKALI +NGOS mje mniambie mnadili vipi na changamoto hizo ili kuwa na ndoa zenye furaha, KATAA NDOA TAFADHALI MKAE MBALI 😃