KERO Changamoto ya kupata fedha za kujikimu kutoka HESLB ni janga kubwa Kwa wanafunzi walio Appeal, mtandao hakuna

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..

Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa wadada wanauza utumbo vijana wamejawa na madeni..

Bodi ya mikopo jirekebisheni kama mna tatizo la mtandao na hamuwezi kumanage rudisheni mfumo wa figure print

Bodi ya Mikopo (HESLB)
 
Kwa huu mwandiko wako na ukilaza wako . Naiomba Serikali isitoe hiyo pesa.itumike kununulia madawa hosp na vifaa. Huyu kilaza asomeshwe na baba yake. Anaandika ku appel? Sijui ana maanisha nini. Lakini pia ukisoma upuuzi alioandika. ASIPEWE HATA THUMNI.
 
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..

Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa wadada wanauza utumbo vijana wamejawa na madeni..

Bodi ya mikopo jirekebisheni kama mna tatizo la mtandao na hamuwezi kumanage rudisheni mfumo wa figure print
Figure print??? Unataka upewe pesa? Ukafanyie nini?
 
Kwa huu mwandiko wako na ukilaza wako . Naiomba Serikali isitoe hiyo pesa.itumike kununulia madawa hosp na vifaa. Huyu kilaza asomeshwe na baba yake. Anaandika ku appel? Sijui ana maanisha nini. Lakini pia ukisoma upuuzi alioandika. ASIPEWE HATA THU

Wewe ndio huna akili na hujui maana ya Appel gud news ni kwamba uwezo huo una

Rojo Mbaya inakutesa mpumbavu mkubwa
Ukute wewe ndio juma lokole
 
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..

Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa wadada wanauza utumbo vijana wamejawa na madeni..

Bodi ya mikopo jirekebisheni kama mna tatizo la mtandao na hamuwezi kumanage rudisheni mfumo wa figure print

Bodi ya Mikopo (HESLB)
jitahidini kutumia pesa kidogo mnayopata kujikimu huko vyuoni kwa umakini mkubwa, hasa katika hizi siku za sikukuu🐒
 
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..

Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa wadada wanauza utumbo vijana wamejawa na madeni..

Bodi ya mikopo jirekebisheni kama mna tatizo la mtandao na hamuwezi kumanage rudisheni mfumo wa figure print

Bodi ya Mikopo (HESLB)
Kinmbiza bodaboda
 
Wewe ndio huna akili na hujui maana ya Appel gud news ni kwamba uwezo huo una

Rojo Mbaya inakutesa mpumbavu mkubwa
Ukute wewe ndio juma lokole
Ha ha ha.... Wewe usipewe kabisa. Wewe kilaza. Rojo Mbaya ???? ? Ni lugha gani hii?

Serikali isipoteze hizo pesa kumpa huyu kilaza. Anasomea certificate anataka mkopo na akili hana.
 
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..

Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa wadada wanauza utumbo vijana wamejawa na madeni..

Bodi ya mikopo jirekebisheni kama mna tatizo la mtandao na hamuwezi kumanage rudisheni mfumo wa figure print

Bodi ya Mikopo (HESLB)
VIjana mayai mayai
 
Hahaha noma Sana alafu ukute una ndugu wanakutegemea kuwa wewe Ndio mwokozi Wao.

Ukute kuna mke anakusikiliza
Ukute kuna watoto wanakutii
Ukute mama yako anategemea uwepo wako

Aisee pole ziende Kwa familia yako
Ninakosea Sana kukujibu
Nimalizie Kwa kusema Mkundu wako mweusi
 
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..

Ukienda HESLB head quarters wanasema mtandao hakuna.
Sasa mnataka watu waishije jamani njaaa imekuwa njaaa wadada wanauza utumbo vijana wamejawa na madeni..

Bodi ya mikopo jirekebisheni kama mna tatizo la mtandao na hamuwezi kumanage rudisheni mfumo wa figure print

Bodi ya Mikopo (HESLB)
Yani kusaini kupitia app inasumbua sijui kwanini.
 
Back
Top Bottom