Changamoto ya kupata partner Love connect

genius26

Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
44
Reaction score
25
Wadau habarini za kazi? na poleni na majukumu ya hapa na pale katika kulisukuma gurudumu la maisha.
Leo ningependa niseme changamoto mbali mbali nilizokutananazo katika Love connect
1:Seriousness , watu wengi hasa wanaume(me) wamekua wakilitumia jukwaa hili kufanya utani/mzaa wakati wachache tu ndo we ye kukimaanisha mile walichokiandila.
2:Qualification , mtanisamehe Dada zangu cna ugomvi na 30+ lakini vigezo vya kitu kma rangi , kimo, gari , nyumba na vitu kma hvyo cdhan kma they are so important.Nivema ukampata MTU ambaye mtaendana kwenye mambo ya msingi
PENDEKEZO
Ningependa forum ingetumika kwa matumizi yaliyokusudiwa , hasa wale wanaoleta utani kuna forum ya jokes nivema wangeenda huko kuliko huku TUNAKOSESHANA BAHATI.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wewe umekosa au umepata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…