MchelewajiSugu
Member
- Apr 29, 2025
- 51
- 135
Zamani nikuwa naamini matatizo yetu yanasababishwa na wazungu. Saivi naelewa wazungu wanatumika tu kama kichaka cha watu waliofeli kujifichia. Wakileta hela tunawita wahisani. Tukishindwa kutatua changamoto zetu tunawasingizia wao, wakati huu tukiwaita mabeberu.Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao
πππ
mwl
Hapana ni vita ya kiuchumi ili wapore madini na gesi zetuNi uzembe wa viongozi wetu wa serikali na ulafi wa madaraka, acheni kumsingizia kila jambo ngozi ya mtumba.
Yes.Gayizi hizo fedha zingechimba visima vingi sana ila kwakuwa tuna Amani basi amani itataua shida ya maji maana hali ya usalama ni shwari na maji kutotoka kwenye mabomba ni AI.
Haya mtakuja kushituka dakika za jioni, wakati nyinyi mkisota na ukame wa maji, mbogamboga wenyewe wanazidi kuongeza wafuasi wenye viliba tumbo mjini.Hapana ni vita ya kiuchumi ili wapore madini na gesi zetu
Mzinguaji huyoAweso amekaa miaka kibao hapo wizarani na kutwa wanamsifia na sioni akitatua tatizo dogo la maji......Kwa TZ kutatua tatizo la maji ni swala dogo sana ,uwezo tunao ,vyanzo tunavyo na wataalamu tunao...shida nini? WAPIGAJI ndiyo tumewapa Dhamana.
Mama kamtua ndooo nn sjui kichwani πYes.
Hata wale wajinga waliokuwa wanadai Katiba mpya tuliwaambia kinaga ubaga kuwa Katiba mpya haileti maji.
Dar na Moro Kuna shida kubwa Sana ya maji... Wapeleke Sasa Katiba mpya kama italeta maji.
Gaizi gaizi hii ni vita ya kiuchumi yaani economical sabotage gaiziGayizi hizo fedha zingechimba visima vingi sana ila kwakuwa tuna Amani basi amani itataua shida ya maji maana hali ya usalama ni shwari na maji kutotoka kwenye mabomba ni AI.
Guizi hii ni vita ya kiuchumi guizi mabeberu wanatamani maji yetu guizi hii economical sabotage gaiziZamani nikuwa naamini matatizo yetu yanasababishwa na wazungu. Saivi naelewa wazungu wanatumika tu kama kichaka cha watu waliofeli kujifichia. Wakileta hela tunawita wahisani. Tukishindwa kutatua changamoto zetu tunawasingizia wao, wakati huu tukiwaita mabeberu.
Upumbavu wa viongozi wetu ndicho chanzo cha magumu tunayo pitia. Tunatafuta mchawi nje ingali wachawi tunao ndani.
Jambo kama shida ya maji dar, hilo nalo tuwalaumu mabeberu.
ππNa hii ni 2025 π€¦π€¦ tunalia maji mara shule mara barabara ππππSisi Waafrika ni low IzQ. Uarabuni ni jangwa ila wana maji ya kuwatosha. Wanachukua maji ya bahari wanatoa chumvi wanatumia. Easier said than done.
Sisi tuna mito,maziwa na mabwawa lakini maji ya kutumia majumbani ni shida.
Yaani tumeshindwa kuweka pump na mabomba ili maji yaje majumbsni. It's not rocket science .
Sijui huwa tuna shida Gani li mradi linagharibu bilioni kadhaa halafu ukikamilika unakufa ndani ya miezi mitatu πππDuh karne hii bado watu wanahangaika na madumu kichwani
Nakumbuka miaka ya nyuma mbeya DANIDA walifanikisha mradi mkubwa wa maji na mbeya suala la maji ikawa
Safi,sasa waliyoachiwa mradi sasa π
Yale yale ya kapunga rice project
Ova
Tatizo linalotusumbua tumewapa dhamana WAPIGAJI ,hawana dhamira ya dhati ya kutatua changamoto zaidi ya kuangalia fursa za upigaji kwenye kutatua changamoto eg Bwawa la KIDUNDA tangia waanze mikakati ya kulijenga ni zaidi ya miaka 10 mpaka sasa bado halijakamilika ndiyo kwanza lipo below 30% ,hilo BWAWA likikamilika Dar,morogoro na Pwani shida ya maji wataisikia kwenye Radio ,imagine serikali haina fedha ya kulikamilisha hilo bwawa ,serikali hawana 200B kukamilisha bwawa....Just Imagine tu Lugumi kapiga 40B kwenye mradi mmoja ,February Marope Kapiga 85B ,Kizigha kapiga 60B yaani tukiminya mafisadi manne tu MRADI wa kidunda unakamlika ndani ya mwaka.Sisi Waafrika ni low IzQ. Uarabuni ni jangwa ila wana maji ya kuwatosha. Wanachukua maji ya bahari wanatoa chumvi wanatumia. Easier said than done.
Sisi tuna mito,maziwa na mabwawa lakini maji ya kutumia majumbani ni shida.
Yaani tumeshindwa kuweka pump na mabomba ili maji yaje majumbsni. It's not rocket science .
Nayo ni vita vya uchumi guys tusitumike na mabeberuHaya mtakuja kushituka dakika za jioni, wakati nyinyi mkisota na ukame wa maji, mbogamboga wenyewe wanazidi kuongeza wafuasi wenye viliba tumbo mjini.
Guys unatumika na mabeberu hizo ni AIView attachment 3515005
Wazalendo wa Dar es salaam eneo la Kawe wakitafuta madini aina ya maji.
Kazi na utu!!
Aisee. Natakiwa niwe makini... Tatizo Sina hakika kama Wana NIDA. Jee kweli hao ni watanzania au ni wakenya wamekuja Dar na kuanza kuzurula na ndoo zao ili mji wetu Mkuu uonekane hauna maji.Guys unatumika na mabeberu hizo ni AI
Dawa ya mabeberu ni kuvunja daraja lililopo kati yao na sisi, daraja lenyewe ni hawa mbogamboga.Nayo ni vita vya uchumi guys tusitumike na mabeberu