changamoto ya masomo ya geog&math

changamoto ya masomo ya geog&math

Joined
Jul 26, 2012
Posts
51
Reaction score
6
Ndugu zangu nimekuwa nikikatishwa tamaa sana juu ya changamoto ya masomo ya geograph na mathematics kuwa ni magumu sana kwa elimu ya juu hususan ktk elimu ya chuo kikuu, na katika machaguo yangu napenda sana masomo haya na sikuwah kuyafel katk mitihan yote niliyowah kufanya, lakin kila napojaribu kuwashirksha wazaz na marafiki ktk uteuz wangu wa masomo haya hunishauri niachane nayo na nichukue mengine kuepuka kusabu. Naomba nijuzwe changamoto ya masomo haya tafadhali.
 
Egm ipo tosamaganga,minaki,pugu ukiwa kwenye hizo shule lazma utoke
 
Hakuna lolote kasome mi nimesoma geo na comp mbona kawaida tu tena wa kisw eng ndo nilikua nawahurumia mziki kule ndo mnene linguistics noma. Piga kama unapenda na una uwezo. Hakuna somo rahisi wala gumu ni wewe mwenyewe tu. Unanikumbusha ule ubishani wa science na arts ipi ngumu kumbe kila mtu anauwezo tofauti huyo wa scn ukimpeleka arts anabung'aa macho tu. It all depends on ur capability and interest, go for what u r capable of.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
EGM haina tofauti na HGL, ni moja ya combination nyepesi
 
Back
Top Bottom