Ndugu zangu nimekuwa nikikatishwa tamaa sana juu ya changamoto ya masomo ya geograph na mathematics kuwa ni magumu sana kwa elimu ya juu hususan ktk elimu ya chuo kikuu, na katika machaguo yangu napenda sana masomo haya na sikuwah kuyafel katk mitihan yote niliyowah kufanya, lakin kila napojaribu kuwashirksha wazaz na marafiki ktk uteuz wangu wa masomo haya hunishauri niachane nayo na nichukue mengine kuepuka kusabu. Naomba nijuzwe changamoto ya masomo haya tafadhali.