byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Suala la michango ya harusi wenzangu limekua changamoto sana katika jamii na kwa baadhi ya wenzangu sijajua na nyie kwenu wana jamvi tusaidiane mawazo.
Wakati unaoa wewe unaomba michango na una post kwenye magroup ya classmates, work mates na majirani kuna watu watakuchangia na wengine hawata kuchangia watakausha kama hawajui na wanaweza left group bila kuku in bobo yan una kuta wana wana teleza kama mna ugomvi madai yao simu inajaa .
Linapo fika jambo la harusi kwao wanaanza kukuomba michango na kukutumia message kumi kumi kama wana kudai na wakati unakumbuka kabisa wakati wa harusi yako watu hao hao walikua wanajua na hawakukuchangia wala hawakujihusisha kwa lolote. ( binafsi mimi ninao mkeka wa watu walionichangia) naomba tusaidiane mawazo hizi shughuli za kijamii zinageukaje uhasama na uadui? sijui niliweke vipi hili jambo ila wakunielewa amesha nielewa