Mshangae na wewe!
Mwanaume kutoka nje ya ndoa ni dalili ya uvivu! Tena ni aibu kwake kabisa! Hakuna mwanaume anaeweza kuridhisha wanawake wawili! Ukiona unatoka nje ni uvivu wa kumridhisha mkeo ndo unakusumbua. Ujijue una-bip kama yule wa 3 minutes kama uji wa quicker oats (instant meal). Na mkeo kama ana akili akijua anakudharau badala ya kuumia!
Ushahidi ni kuwa wanaume wanaotoka nje wake zao nao wanatoka (na ni majority siku hizi). Ni vile wanawake hawashoboki so hawaonekani sana.
Niliambiwa hata Mtume akiruhusu kuoa wake wengi haikuwa kwa ajili ya ngono bali kwa ajili ya 'kuwasitiri' wanawake. Sasa kama issue ni satisfaction ya ngono, si muoe wake wengi?