Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo 110 ni make gani?Habari Wana jamii Forums.. samahani nilikuwa nahitaji kujua changamoto ya hizi pikipiki ndogo maarufu kama 110 zipi?
Upande wa spea na ubora wa pikipiki zenyewe kwa sababu sijawahi kumiliki haina hii.. asanteni na karibun kwa michanganuo yenu
View attachment 3093328
Ninayaotaka kuchukua ni honlg kama hiyo pichan..Mkuu hiyo 110 ni make gani?
kama ni Honda au Yamaha nyingi zinakuwa imara sana hasa km utanunua mpya ni uhakika utadumu nayo.
Changamoto yake ni spare kidogo ni ghali kama kipato chako kidogo. Budget ya spare zake zinalingana na kuservice passo/Ist.
Zipo pia za kichina kina Sino utazipata kwa bei nafuu na spare zake sio ghali ila hazidumu km hizo za juu.
Vidude vizuri mno hivyo.. Ukiweza usiwaze marambili.. KalipieHabari Wana jamii Forums.. samahani nilikuwa nahitaji kujua changamoto ya hizi pikipiki ndogo maarufu kama 110 zipi?
Upande wa spea na ubora wa pikipiki zenyewe kwa sababu sijawahi kumiliki haina hii.. asanteni na karibun kwa michanganuo yenu
View attachment 3093328
Vipi spea zake zinapatikana kweli nisije ingia chakaVidude vizuri mno hivyo.. Ukiweza usiwaze marambili.. Kalipie
Shida Honda nyingi used na mi naogopa sana used.. maana yashanikuta,, sidhan kama 110 za Honda Bado wanatengeneza kwa sasa110 huwa ni Honda tu
Zingine bora pikipiki tu na sio pikipiki bora
Zipo usiwaze
Mil 2.5 kwenda juuBei inaendaje
Fuel consumption ipoje nayoMil 2.5 kwenda juu
Elf 10 full tankFuel consumption ipoje nayo
Yani km/lita. On averageElf 10 full tank
40-60km kwa Lita moja,, ila hiyo ni kulingana na uendeshaji wako, uzito na Hali ya barabara. Itapanda kama hautojali serviceFuel consumption ipoje nayo
Hapana hawatengenezi tenaShida Honda nyingi used na mi naogopa sana used.. maana yashanikuta,, sidhan kama 110 za Honda Bado wanatengeneza kwa sasa
Shukran kwa maelezo mkuuNiliwahi miliki pkpk ya hivi miaka 2010 aina ya Nagaki. Ni nzuri kama unaitumia maeneo ya mijini na sehem tambarare, milima mikali inateseka. Ilikuwa unaenda 55km/L.
Changamoto yake ni kuwa body parts zake nyingi ni plastics.
Ukiijali service utaitumia Kwa muda mrefu