Changamoto ya upatikanaji wa sindano(chanjo) ya tetenus(pepopunda)

Mipa Chinduli

Member
Joined
Jan 15, 2019
Posts
11
Reaction score
6
Wakuu habari ya sahizi, ninandugu yangu kachomwa na msumari jana jioni, ikabidi twende kituo vituo vya afya ili apate sindano ya tetenasi.

Katika hali ya kushangaza tangu jana hadi leo tunahangaika hospitalI na zahanati mbalimbali za serikali na private, wilaya ya temeke hatujapata hiyo sindano.
Je! hii sindano imekuwa adimu kiasi hiki au hii changamoto tunakutana nayo sisi tu?
 
Itakuwa ninyi tu. Karibu vituo vyote vinavyotoa huduma za clinic kwa kina mama wanakuwa na hiyo sindano ambapo hata watu kama huyo wanaweza kupatiwa.
Kwani hizo sehemu ulizoenda mliambiwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…