Lindembwee
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 144
- 94
Kuna mahal unakosea. Ungeeleza kidogo namna unavyowafugaHabari jf. Jamani nina changamoto ya fivo vya vifaranga kila ninapo jaribu kupiga hatua ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, kanuni zote muhimu za ufugaji nazifwata, sasa sijui nakosea wapi?
Chanjo na wapa, banda safi, mwanga Wa kutosha, nafungia na mama yao, chick starter nawapa. Mwisho Wa siku unakuta wamevaa koti. Hapo ndio hawaponiKuna mahal unakosea. Ungeeleza kidogo namna unavyowafuga
Nawapa mkuu. Sasa hivi nimeamua kuwa achia wazurule na mama yao.. Watakao pona ndio hao haoAnza na chanjo Mzee
Kuku sometimes wanakatisha tamaa sana.. Ila wanafaida sana kwenye biashàra ya mayai. Tatizo management yao so complexityMimi wamekufa nusu partial loss
Management hicho ndo kitu cha msingi sanaKuku sometimes wanakatisha tamaa sana.. Ila wanafaida sana kwenye biashàra ya mayai. Tatizo management yao so complexity
Chanjo na wapa, banda safi, mwanga Wa kutosha, nafungia na mama yao, chick starter nawapa. Mwisho Wa siku unakuta wamevaa koti. Hapo ndio hawaponi
hao vifaranga unanunua kwa mtu?Habari jf. Jamani nina changamoto ya fivo vya vifaranga kila ninapo jaribu kupiga hatua ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, kanuni zote muhimu za ufugaji nazifwata, sasa sijui nakosea wapi?
duh, balaa hiliChanjo na wapa, banda safi, mwanga Wa kutosha, nafungia na mama yao, chick starter nawapa. Mwisho Wa siku unakuta wamevaa koti. Hapo ndio hawaponi
mkuu kila biashara ila complexity yake, we komaaKuku sometimes wanakatisha tamaa sana.. Ila wanafaida sana kwenye biashàra ya mayai. Tatizo management yao so complexity
point ya msingi hiiUsikimbilie tatizo kwa vifaranga tu unaweza kuta tatizo ni wazazi wao ndo wenye shida pia angalia lishe bora kwa mama mana wengine ulisha pumba tu kisa anaona kuku anashambulia akijua ndo chakula tayari hapa kuku wa kienyeji asili yake ni kutanga tanga na kutafuta chakula ula wadudu na majani ambayo yote kwake ni dawa ukimfungia ndani pekee ukosa vingi upelekea magonjwa ya kurithi hasa kipindi karibu na kuanza kutaga ndo ufa zaidi tafuta wataalamu au peleka kuku maabala ya vetenariani wafanye uchunguzi sababu ya kifo ukienda duka la dawa utauziwa kila aina ya dawa na wataisha kuku tu uku wenzio wanakula hela yako mana madawa mengi utengeneza tu mitaani sababu uangaliza ni mdogo
Usikimbilie tatizo kwa vifaranga tu unaweza kuta tatizo ni wazazi wao ndo wenye shida pia angalia lishe bora kwa mama mana wengine ulisha pumba tu kisa anaona kuku anashambulia akijua ndo chakula tayari hapa kuku wa kienyeji asili yake ni kutanga tanga na kutafuta chakula ula wadudu na majani ambayo yote kwake ni dawa ukimfungia ndani pekee ukosa vingi upelekea magonjwa ya kurithi hasa kipindi karibu na kuanza kutaga ndo ufa zaidi tafuta wataalamu au peleka kuku maabala ya vetenariani wafanye uchunguzi sababu ya kifo ukienda duka la dawa utauziwa kila aina ya dawa na wataisha kuku tu uku wen,zio wanakula hela yako mana madawa mengi utengeneza tu mitaani sababu uangaliza ni mdogo
= maabara