ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Hapo kimemo sidhani kama zipo, kumbuka anayesaili hapo ni sekretalieti ya ajira, hakuna upendeleo mwenye haki yake atapita tuHapo kina meko wana watoto wao Pia vine vimemo kama vyote
dah!..mkuu ukiwaza yote hayo unaifkiria nauli yako sijui ukatie mkeka tu kwa muhindi.Hapo kina meko wana watoto wao Pia vine vimemo kama vyote
Kama Mungu ana taifa lake teule,sembuse Sektarieti ya Ajira?Hapo kimemo sidhani kama zipo, kumbuka anayesaili hapo ni sekretalieti ya ajira, hakuna upendeleo mwenye haki yake atapita tu
Akina Meko si naskia kuna kampuni Tanzu ambayo inakula tenda zote toka jikoni kabisa. Lazm vijana watakuwa katika hio kampuni wakichapa kaziπ€£π€£π€£Hapo kina meko wana watoto wao Pia vine vimemo kama vyote
Chagua lisu acha kulialia wakati unajua dawaWakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.
Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.
Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza.
TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer watu 280 nafasi mtu mmoja t anahitajika.
Yani probapility ni 0.001 kwa kila mtu, kiukweli inakatisha tamaa sana.
Serikali inabidi ituangalie na sie wakada hii ya uhandisi hali ni mbaya kwakweli. Hapo mtu unaenda kwenye usaili kichwa kinawaza vitu vingi sana hamna tumaini
Kifupi unakuwa ushafeli teyari.
πππ tuliosoma Propability tunasema probability never exceed one 1 so hapo ni sawa kabisaWakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.
Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.
Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza.
TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer watu 280 nafasi mtu mmoja t anahitajika.
Yani probapility ni 0.001 kwa kila mtu, kiukweli inakatisha tamaa sana.
Serikali inabidi ituangalie na sie wakada hii ya uhandisi hali ni mbaya kwakweli. Hapo mtu unaenda kwenye usaili kichwa kinawaza vitu vingi sana hamna tumaini
Kifupi unakuwa ushafeli teyari.
Mbona ratio nzuri tuWakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.
Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.
Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza.
TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer watu 280 nafasi mtu mmoja t anahitajika.
Yani probapility ni 0.001 kwa kila mtu, kiukweli inakatisha tamaa sana.
Serikali inabidi ituangalie na sie wakada hii ya uhandisi hali ni mbaya kwakweli. Hapo mtu unaenda kwenye usaili kichwa kinawaza vitu vingi sana hamna tumaini
Kifupi unakuwa ushafeli teyari.
Never exceeds. Jifunze kingerezaπππ tuliosoma Propability tunasema probability never exceed one 1 so hapo ni sawa kabisa
Umeongea kwa mafumbo hyo kampuni Ni ipi?Akina Meko si naskia kuna kampuni Tanzu ambayo inakula tenda zote toka jikoni kabisa. Lazm vijana watakuwa katika hio kampuni wakichapa kaziπ€£π€£π€£
Wanataka ulaini WAKATI hali halisi wanaijua, hyo ratio Ni nzuri kabisa na ndio maana halisi ya SURVIVAL FOR THE FITTEST.Nenda wew mi hata wangekuwa buku kama ni utumishi na nina nauli yangu ya kutosha lazima nitimbe hata kama utakosa kuna kitu utakuwa umeongeza bt ukikaa usibirie muitwe 50 hutohudhuria hata saili moja maaan siku hizi kila mtu anasoma syo mijini wala vijijn na vyuo kila mwaka vnamwaga watu mtaani so cha msingi wwe kama wew unatakiwa uwe deep sana kwenye fani yako yani usikubali kitu kiwe kwenye fani yako alafu hukijui yani unakuwa ni uzembe na usirizike tu kwa kuwa unagamba sijui lenye GPA za kibabe ikawa basi.
Jifunze vitu vingi ili kwenye mchujo na oral uwakimbize wenzako mwisho ni kumtanguliza sir god kwa kila jambo.
ONLY THE STRONGEST WILL SURVIVEHapo kimemo sidhani kama zipo, kumbuka anayesaili hapo ni sekretalieti ya ajira, hakuna upendeleo mwenye haki yake atapita tu
Top Tier wa makampuni ya Ujenzi kwa sasa ndio haoUmeongea kwa mafumbo hyo kampuni Ni ipi?