Changamoto za Ajira Portal

Logistics and Distribution Management
Nafasi iliyotangazwa ni Supplies Officer
Angalia kwenye qualification wameandika bachelor in .......
Inatakiwa ifanane kila neno hapo Kama bachelor yako imetofautiana hata neno moja tu. System inakutema.
In short system ina mapungufu haitambui equivalent quatifications.​
 
Logistics and Distribution Management
Nafasi iliyotangazwa ni Supplies Officer
Ninavyojua mie supplies officer ni ya watu waliosoma procurement and supply....kwahiyo hujaonewa bablai[emoji1787][emoji1787]
 
Angalia kwenye qualification wameandika bachelor in .......
Inatakiwa ifanane kila neno hapo Kama bachelor yako imetofautiana hata neno moja tu. System inakutema.
In short system ina mapungufu haitambui equivalent quatifications.​
Nonsense... eti Kila neno lifanane... waliniambia nitoe cheti cha masters sababu niko over qualified nikatoa, system bado inazengua, nikapunguza ma vyeti ya bodi ya PSPTB,... jaribu Hola, sasa unabaki kujiuliza wanataka nn? mfano kuna vyuo vinaita Procurement and Logistics Management, Kunavyuo vinaita Procurement and Supplies Management, Kuna vyuo vinaita Logistics and transportation management, but focal point ni ile ile... kama vile Accounting na wengine waite Accounting and Finance... ila dhana n ile ile... mi nadhani huu mfumo umeendelea kuzalisha unemployed graduate mtaani kwa wingi mno... mfumo haukufanyiwa majaribio ya kutosha ili kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili
 
Ninavyojua mie supplies officer ni ya watu waliosoma procurement and supply....kwahiyo hujaonewa bablai[emoji1787][emoji1787]
Nimefurahi sana ulivyotangulia kusema "Ninavyojua mie" sasa jombaa hizi ni fani za watu hebu tulia sababu hujui kitu... nikikuuliza what is the difference between Procurement and Purchasing unaweza kunijibu au Logistics and Distribution unaweza kunijibu... ikiwa unaweza basi... usingeandika comment kama hiyo.
 
Wewe Cha kufanya nenda kwenye academic qualifications andika course Kama walivyoandika kwenye tangazo lao la kazi halafu weka cheti hichohicho then nenda kaaply,
 
Sasa hasira zako za kukataliwa na sekeretarieti ya ajira ndio unataka unimalizie Mimi??
Karibu mtaani tubebe zege arifu...hakuna namna
 
Edit kwenye qualification andika walivyoandika wao kwenye tangazo then apply
 
Logistics and Distribution Management
Nafasi iliyotangazwa ni Supplies Officer
Apo njia rahisi ni kwenda kwenye qualification uchague kozi iliyoandikwa kwenye tangazo unaaply fresh haiwezi kukataa iyo system yako ina mapungufu makubwa
 
mi nimeona status imebadilika imeonyesha, you are not shortlisted ila majina ya watu kuitwa kwenye interview bado hayajatoka. inawezekana watu waliitwa kimya kimya kwenye interview?
Sijajua nini kimetokea katika case yako, lakini jaribu pia kusubiria majina yakitoka angalia jina lako kama lipo au halipo, ili kupata uhakika zaidi. Maana isije kuwa system error imejiweka kwenye status yako.
 
Meseji za kawaida wanatuma mkuu...mwezi Julai nilitumiwa sms kuwa tarehe ya interview imeahirisha hadi hapo tarehe ya mbele...
 
Sijajua nini kimetokea katika case yako, lakini jaribu pia kusubiria majina yakitoka angalia jina lako kama lipo au halipo, ili kupata uhakika zaidi. Maana isije kuwa system error imejiweka kwenye status yako.
mkuu nilienda kuuliza wakanipa majibu. job description ilikuwa inataka mtu awe na masters ya economics au geoscience na nyingine kama zilivotajwa kwenye job description. sasa mimi nina masters ya economics lakin bachelor ya tofauti na hizo program za masters zilizotajwa kwenye job description. wakaniambia lazima pia niwe na bachelor iendane hizo course hapo kwenye job description japo hawajasema wanataka bachelor ya nini. nikawauliza nyinyi mumejuaje wakat tangazo halisemi chochote kuhusu bachelor degree, walishindwa kunipa jibu. nikajua kuna namna hapo ikabidi niondoke
 
Ajira portal.... Yaani sie wa darasa la saba hatuna chetu......

Kifupi ile website bado haiko vizuri kila nikijaribu ku update profile haikubali.
 
Pole sana mkuu, ni changamoto sana.
 
Hata mm mkuu nina changamoto hiyo aisee.. option iliyopo ni kufuta kwenye academic transcript tu.. aisee kama hakuna options zingine jamaa watakua wakatili sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Academic qualification, unaanza kuweka shule au chuo na mwaka ulioanza na kumaliza.. Kule mwsho unaweka cheti ..

Proffesional unataja proffesional yako ila uwe umesajiliwa...

Kama engineer unapaswa usajiliwe na erb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…