Changamoto za Ajira Portal

Hivi zile asilimia walizo ziweka pale ni moja ya kigezo cha mtu kuchaguliwa kufanya usaili kama atakuwa na asilimia nyingi zaidi ya wengine au ni mbwembwe tu???
 
Mnaweza kulingana lakini msifanane. naamini namna mfumo ulivyowekwa ni kozi husika au inayofanana na hiyo. matakwa ya tangazo huwekwa kwa makusudi maalumu. Kwa mfan: watu wa Engineering wanaendana katika masomo meengi lakini hawafanani katika ujuzi Industrial vs textiles engineer yapo masomo yanaendana lakini ikuja nafasi inayotaka textile huyu wa industrial yapo atakayoweza kufanya lakini sio yote. Tangazo linahitaji complete package sio half. Wangeiacha huru kungekuwa na maombi mengi ambayo hayakidhi sifa.

Ushauri ni kwamba, omba kazi inayohitaji kozi uliyosoma.
 

Nadhani bado haitakusasidia kwa kuwa unapoingia katika utumishi wa umma ukigundulika ulidanganya kipindi cha kuomba kazi hatua dhidi yako zinaweza kuchukuliwa.. nilijulishwa na mdau mmoja wa kazi.
 
Kuna zile asilimia unazo takiwa kuwa nazo ili kutuma maombi nazani ni kuanzia asilimia 70 ndio inakubali. Sasa hapo unakuta kuna mtu anakuwa na asilimia mpaka [emoji817] wengine 90 wengine 80 sabini.

Kwa hiyo nilikuwa nauliza hii inasaidia kwenye kuchaguliwa kufanya usaili kama ukiwa na asilimia kubwa kuliko mwenzako?
Asilimia zipi hizo mkuu?
.
 

Suala ni kutimiza matakwa ya tangazo la kazi na kujaza taarifa zako kwa usahihi. asilimia zinakuonesha tu kwamba kuna taarifa unazotakiwa kujaza lakini hujazijaza.
 
Hahahahaa sawa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nilipata hii shida, nilijaribu kwenye computer nyingine ndio ikakubali...jaribu hiyo pia
yes kama wiki mbili zilizopita nilikua naaply ikataka ni update details na moja wapo ilikua ni nida, kitambulisho cha nida ninacho ila nilikua kila nikiweka namba haiupdate nikaachana nayo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani bado haitakusasidia kwa kuwa unapoingia katika utumishi wa umma ukigundulika ulidanganya kipindi cha kuomba kazi hatua dhidi yako zinaweza kuchukuliwa.. nilijulishwa na mdau mmoja wa kazi.
Hiyo n kama umepata kazi ambayo ni tofauti na sifa ulizonazo, mfano wewe n mhasibu umerukia kaz ya afisa misitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hujanielewa.. ninachomaanisha.. nimesoma banking and finance, post inamtaka mtu wa banking and accounting... nabadilishaje!???

Ndo maana mtoa mada amesema hata kama una sifa za hiyo kazi, lakini kipengele cha kozi uliyosomea kinakutoa nje ya kinyang'anyiro..
Zinabadilishwa kijana, chukua muda, durusu vizuri pale kwenye job category,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…