Changamoto za biashara: Ajuza amenitapeli laki 3 ya tigo pesa kizembe sana

Wape taarifa mods huyo ajuza atakua ni faiza foxy bibi yetu wa humu
 
Watanzania tulikuwa na utamaduni wa kusaidiana sana ila huu utapeli huu unatugeuza mioyo hadi vibibi duuh
 
Kweli ni uzembe ,hutakiwi kutoa Pesa bila kuingia msg kwenye simu yako ,akasema anaharaka mwambie atafute wakala mwingine,na mtu Akija nakusema niwekee Pesa kiasi Fulani usiweke mpaka amekupa Pesa mkononi.
 
Kumbe mchokozi sio mimi peke yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ila kile kibibi kikiamua kukuletea kisirani utashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…