ulisikia wapi huu uongo naomba uache kusikia tena huko sio reliable source..Kaka binafsi nahitaji kupata elimu juu ya pesa za kigeni hususan dollars mana zina masharti mengi sana mfano nasikia ikiwa noti ya USD imechakaa thaman yake inashuka nataka kujua inashuka vp na kwa kiwango
Hio ni just marketing wanakuvutia kwa bei nzuri zaidi ili uingia ndani na dirishani.., wangeweka bei halisi huenda usingefika dirishani..., pia kuna bureau de change unaweza ku-bargain bei kama una pesa kubwa kwahio kiuhalisia hata hio bei uliyopewa huenda ungewa kuongezewa senti kadhaa...,kingine muda wa kutumika hiyo pesa toka izalishwe nini kitu cha kuzingatia wakati wa kuchange dollars kweny mabenk yetu,niliwah kwenda bank moja hapo sinza rate iliyokuwepo kweny TV ya ukutani ilikuwa 2320 nilipofika dirishan nkaambiwa thaman ya dollar ni 2250 nkarud kuangalia ukutan ilikuwa ile ile 2320 nataka kujua system ya ukutan na dirishan zpo tofaut, tafadhari anaejua naomba anisaidie hayo yote nitashukuru
Bei uliyosema 2320 ni selling rate ya benk, hyo 2250 ilikua ni buying rate ya benki. Hizi mwanzoni zilikua zinanichanganya.Kaka binafsi nahitaji kupata elimu juu ya pesa za kigeni hususan dollars mana zina masharti mengi sana mfano nasikia ikiwa noti ya USD imechakaa thaman yake inashuka nataka kujua inashuka vp na kwa kiwango gan,kingine muda wa kutumika hiyo pesa toka izalishwe nini kitu cha kuzingatia wakati wa kuchange dollars kweny mabenk yetu,niliwah kwenda bank moja hapo sinza rate iliyokuwepo kweny TV ya ukutani ilikuwa 2320 nilipofika dirishan nkaambiwa thaman ya dollar ni 2250 nkarud kuangalia ukutan ilikuwa ile ile 2320 nataka kujua system ya ukutan na dirishan zpo tofaut, tafadhari anaejua naomba anisaidie hayo yote nitashukuru
Nashkr sana nmeelew vzrBei uliyosema 2320 ni selling rate ya benk, hyo 2250 ilikua ni buying rate ya benki. Hizi mwanzoni zilikua zinanichanganya.
Ukitaka zisikuchanganye kiurahisi fanya ni maongezi ya kuuziana kitu.
- - - - -
Scenario 1: USD ---> TZS
Mr Bank: Mr Mteja, karibu sana, nikuhudumie na nn?
Mr Mteja: Mr Bank, dah, nina dola za kimarekani hapa naziuza nipate tshs.
Mr Bank: Sawa sawa, hebu nizione...
Mr Bank: Sawa, sasa hizi nitanunua 2250 kwa kila dola 1, unasemaje? (buy rate)
Mr Mteja: Sawa haina shida... Nina dola kama 100 hapa.
Mr Bank: Sawa, haina neno.
(anakupatia 225,000 tshs).
- - - - -
Scenario 2: TZS ---> USD
Mr Bank: Karbu sana Mr Mteja, vp unahitaji nini?
Mr Mteja: Nina Tshs zangu hapa 225,000 nahitaj $ ya marekani aisee...
Mr Bank: Anhaaa, ninazo hizo nauza 1$ kwa 2320 tshs, unasemaje? (Sell rate)
Mr Mteja: Sawa nipatie.
(Unapokea $96.98)
- - - - -
Unapoenda na fedha ya kigeni mfano $ ukahitaji upate tshs, unaiuzia benki hyo pesa uliyokuwa nayo, kwahyo wao kama wafanya biashara watanunua kwa bei ndogo wakauze kwa bei kubwa baadae. Kwenye maongezi juu hapo, Hyo tofauti hapo ($3.02) ndo faida ya Bank, au Bureau.
Sent using Jamii Forums mobile app