Changamoto za gari zenye sun roof

Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
134
Reaction score
229
Kwema wadau?,mimi binafsi n mpenz wa gari zenye uwazi kwa juu (sun roof),

Naomba kujuzwa kama hiz aina zina changamoto zozote ktk hilo paa,km inshu za kuvuja na mengineyo,je kuna namna ya kurekebisha shida za sunroof?

Asanteni



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Zinatabia ya kuvuja sana pia kioo kikivunjika au raba ikichoka, sio rahisi kuvipata aisee, kioo unaweza kuchonga ila sasa raba banaaaaa....na ukiipata bei yake imechangamka vibaya mno.
 
Duh kama unaulizia mambo ya kuvuja kwa sun roof inaeleka kabisa wewe siyo mtu wa hicho kiwango, bora ubakie huku huku chini usilazimishe, ...
 
Once dada yangu alikua anamiliki Vx, sasa kuna kipindi ilifika ikawa inavuja. Asee, yani ikishaanza kuvujisha maji utaikataa gari yako, maana itatoa harufu vitu vitaharibika ndani huko. Aliiuza last year ddcember. (Sio sababu ya kuvuja sunroof lakini).
 
Hivi kweli mtu unaweza jiuliza juu ya changamoto ya gari yenye sunroof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…