George Orwa
New Member
- Oct 11, 2018
- 1
- 0
Kama ni ndoto yako nakushauri fwata ndoto yako.Wakuu wangu habari za muda huu,
Naomba kujua changamoto ya kusomea Degree ya Law chuoni na pia soko lake la ajira kwani mimi ni mhitimu kidato cha sita na ndoto zangu ni kuwa lawyer.
afu na ile misamiati sasa daaahChangamoto ya Sheria ukiwa kazini ni kwamba itakibidi usome kila siku yaani ni kusoma kusoma kusoma
Wanamaliza wengi degree msoto unaenda law schoolUnasoma miaka mitano me hiyo kwangu ni changamoto, af idad yenu ni nyomi apa saut wakiw wanatoka darasan utadhan tuko kariakoo, hii inaonyesha kupata ajira ni mziki
Na ndio maana wanajiita wasomiChangamoto ya Sheria ukiwa kazini ni kwamba itakibidi usome kila siku yaani ni kusoma kusoma kusoma
AseeUnasoma miaka mitano me hiyo kwangu ni changamoto, af idad yenu ni nyomi apa saut wakiw wanatoka darasan utadhan tuko kariakoo, hii inaonyesha kupata ajira ni mziki
Kabisaa,ukiwa mzembe unatupwa nje ya soko,yafaa ujue kujenga hoja vilivyo.Changamoto ya Sheria ukiwa kazini ni kwamba itakibidi usome kila siku yaani ni kusoma kusoma kusoma