Changamoto za kunywea home

MR KUO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
2,678
Reaction score
3,818
Haya mambo ya kuwaambia watu wanywee nyumbani, ukilewa unaweza kumshika beki tatu tako mkeo akiuliza unafanya nini? Unajibu kwani we ndo meneja wa hii bar?

tunaokunywa Kisha pombe zikakimbilia kichwa Cha chini safari hii tumepatikana nawaambia.

[emoji855][emoji855]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinywea nyumbani mama hatakuruhusu ufike sehemu unasahau kuwa uko bar!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinywea nyumbani mama hatakuruhusu ufike sehemu unasahau kuwa uko bar!

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani wale wanaolewa halafu wakaona bar nzima na watu wote waliopo ndani ni watoto wao Cha Moto wanakiona.

Kuna wale wakilewa matusi yanashika hatamu na wao sijui wana Hali gani.

bila kusahau mtu akilewa anakuwa mkweli Sana hapo ndo patamu wife na watoto lazima wazimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaha. hebu ambatanisha na kapicha basi cha beki tatu alivyoshikwa.nadhani unaongea hayo kwa kuwa yalishatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…