Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa namwambia, kwa assesment ambayo nimefanya inaonesha 90% ya mabinti wa kibongo wana changamoto nyingi za kiuchumi..
So ni bora ukamatie mmoja, umsovie mahitaji yake umpunguzie dhiki kisha utulie naye.
Katika kukabiliana na hilo embu wadau tupambanue, unapambana vipi na changamoto za kiuchumi za mwanamke uliyekutana naye kati kati ya mwezi wakati wewe mshahara ulishaumaliza tarehe tano?