Changamoto za kupata baby mpya kati kati ya mwezi!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa namwambia, kwa assesment ambayo nimefanya inaonesha 90% ya mabinti wa kibongo wana changamoto nyingi za kiuchumi..

So ni bora ukamatie mmoja, umsovie mahitaji yake umpunguzie dhiki kisha utulie naye.

Katika kukabiliana na hilo embu wadau tupambanue, unapambana vipi na changamoto za kiuchumi za mwanamke uliyekutana naye kati kati ya mwezi wakati wewe mshahara ulishaumaliza tarehe tano?
 
Maana ake sasa tuwe kama wazazi wao kuwahudumia matatizo yao so ndio
 
Mademu hawataki kutulia kamata piga mashine mlipe endelea na mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…