Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Vitu vingine tinavisbabisha wenyewe wenzenu kule hawataki tuguse hata mali yao hata moja lakini wao wakija huku bara wanataka kila kitu tena wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko mzawa.
Mimi kilichoniuma zaidi mwaka juzi dogo langu alikuwa anafukuzia JKT sasa wapo kwenye mchujo.
Mchujo wenyewe ulikuwa ni wa kuzunguka uwanja yaani mnajipanga Watu 30 afu mnazunguka uwanja round 7 wanachukua Watu 6 sasa dg langu akakimbia akawa 4 aliyemfuatia alikuwa mbara hadi wa saba walikuwa Wabara wote, sasa hiyo sheria iliyojishitusha ni kwamba baada ya kuchukua washindi wakasema lazima wazanzibari kati ya nafasi 7 wawe wazanzibari 5 daah na ukicheki karibia wote walioshinda walikuwa Wabara sasa wakachukua Watu 2 wa kwanza wengine wote wakawa wazanzibari haijalishi wamekuwa wa mwisho au laah. Halafu kule kwao mbara hatakiwi kabisa kushiriki hata kimoja tena ukionekana unaishi kwao unaundiwa tume ya roho mbaya.
Kitu kingine hawa jamaa tangu kitambo wanadai muungano uvunjwe na wakati kila kitu wanapata bure na kodi hawalipi sasa sijui kwann tunawang'ang'ania.
Sasa leo bandari hiyo apo mtasema tena sikuwaambia? Hawa wabunge sijui akili huwa zinaenda likizo au walipoenda huko dubai akili zilibaki uko uko dubai kama msukuma yeye nahisi aliziacha huko huko.
Na huyu prof. Makame duuh anyway niko hapa kijiwe cha kahawa nipo na wazee wenzangu tuna piga zogo ila huyu mzee sijui kapewa nini maana yeye tu Ndiye anayesapoti bandari kuuzwa huku kashatengwa nusura ngumi kupigwa🤣🤣