Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hizi huduma zinauzwa mkuu? Je, package ya huduma hizi ni ipi (mfano kuedit, kucovert, etc)? Fafanua vizuri wadau tukuelewe mkuu.Kwangu binafsi nimefurahia huduma za 'online' za Sejda.com, na imenisaidia katika nyaraka zangu zote za pdf; sio kuwa nawatangaza ila ni katika kushea ili na wewe usikwame.
Ni 'free' kwa kiwango fulani, mi sijalipia chochote, inawezekana kwa huko mbeleni wakanipa gharama baada ya kuona natumia sana.Hizi huduma zinauzwa mkuu? Je, package ya huduma hizi ni ipi (mfano kuedit, kucovert, etc)? Fafanua vizuri wadau tukuelewe mkuu.
Ina vitu vingi sana, ukipata muda jaribu kui-google; wazungu wanaturahisishia mambo.Mkuu hebu elezea vizuri tuielewe na sisi
Asante Kwa kushareNajua humu kuna watu wanafanya tafiti au kuandika machapisho mbalimbali, iwe ni sehemu ya kazi au kitaaluma n.k.
Inawezekana labda nyaraka zako unaziifadhi kwa pdf, na ungependa kuzifanyia marekebisho ya hapa na pale ila unashindwa.
Kwangu binafsi nimefurahia huduma za 'online' za Sejda.com, na imenisaidia katika nyaraka zangu zote za pdf; sio kuwa nawatangaza ila ni katika kushea ili na wewe usikwame.
Bado kuijaribuMmewahi jaribu Libre office??
IPO vipiBado kuijaribu
Kumbe kuna mambo mazuri hivo skuizi??Ina vitu vingi sana, ukipata muda jaribu kui-google; wazungu wanaturahisishia mambo.