Changamoto zipi unazipata wewe mwananchi kutoka kwa mgambo?

Changamoto zipi unazipata wewe mwananchi kutoka kwa mgambo?

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
MSANII BLACK SKULL

Mgambo ni jeshi halali japo si chombo cha dola. Haliundwi na rais kama yalivyo majeshi mengine isipokuwa linaundwa na sheria ndogo ndogo ambazo zinazipa mamlaka halmashauri za miji au wilaya kujiundia vyombo vyao vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kusimamia shughuli ambazo zipo chini ya mamlaka yao.

Hata hivyo, mamlaka hayo kamwe hayawezi kuzidi au kukiuka yale ya vyombo vya dola ambavyo vinasimamia na kudhibiti masuala ya kitaifa, ikiwamo haki za kikatiba za wananchi.

Kwa wadau na wafuatiliaji wa muziki, hii ni hatua kubwa. Niwape pongezi wasanii wote wa Bongo fleva Enzi hizo kwa maana walijituma kuhakikisha Tanzania inasimama kwenye ramani ya muziki duniani. Waimbaji wa Nyimbo za Bongo fleva za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa. Muziki wa Bongo fleva umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa sasa.

Waimbaji wa nyimbo za injili wanafanya kazi nzuri ya Mungu lakini sasa tunaomba waendelee kuisistiza jamii yetu iishi na kuenzi maadili mema ya Kimungu.

BLACK SKULL - MGAMBO

Chorus

Mgambo tuheshimiwe tuthaminiwe eeeh!!/
Mkao na mikopo nasi tupewe tupendelewe Eeeh!!/×2

Verse..1.

wani Toka kitambo/ kwangu mambo sio mambo/ na baada ya ugumu wa maisha fukara nilicharara / na mwishoe nikaona bora walala Bar /nijiface nijiunge na jeshi la mgambo/ kwanza nilijihisi nitapata kazi haraka/ pili nitakuwa "ngangari" kumshinda Rambo/ " sterling " na nikatia nia nika Apa nitatumikia jeshi la mgambo/ pasipo na majigambo/ Tatizo ni pale tu nilipotinga magwanda / mtaani watu walisema mafumbo/ wengine walisema vikitokea vita wakambo ndi chambo/ mimi sikuwajali ndio kwanza nikaongeza kasi mwendo mdundo/ nakaza buti nasonga ng'ambo/ usisikie bwana nimevumilia mengi mafunzo/ adhabu , mateke & makofi na fimbo/ kamanda yupo pembeni/ presha roho mkononi kichwa mtambo/ akitoa amri ni kutekeleza hapo hakuna maringo/ hataki ujinga kazi asisikie Eeeeh!!!...

#funguka.

Je, ni changamoto ama kero zipi unazipata wewe mwananchi kutoka kwa migambo.

Ukwaju wa kitambo

0767 542 202

images-31.jpg
 
Back
Top Bottom