Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Fanya mzee cha msingi muombe Mungu akusimamie sana na pia kua smart usiweke tamaa utaumia ni biashara nzuri.Nimewaza hii biashara za kukusanya simu used mitaani na kupeleka vijijini huko nikapige pesa, kwa mfano kuna siku nilinunua simu 1 hapa town 12000 jamaa aliliwa katika kamali akawa hana nauli akauza 12000 kitochi, mimi nikaenda uza 17000sh. Kwa hii trend nikiuza simu 10 kwa siku naweza laza 40-50 asanteni.
Polisi hana urafiki aandae mtu wa kumuwekea dhamana na hela ya kuhonga kufuta kesi.Kua makini sana na jenga urafiki na polisi,changamoto nyingine sisi tulio nje kidogo ya mji wa dsm,raia wanaturuka wanaenda k.koo.