Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Nafanya qualitative research na ningependa kupata data humu ndani kwa Magreat Thinker. Nataka kupata maoni ya vijana wajasiriamali. Ni changamoto zipi huwa wanakumbana nazo katika biashara wakiwa kama vijana. Swali lako halipo specific. Chochote tu kile ambacho unaona ni kikwazo katika growth ya biashara yako unaruhusiwa tu kukitaja.
NB: Watu wenye akili za mbilimbi naomba mpite tu kimya kimya. Sitaki comment za upuuzi:teeth:
NB: Watu wenye akili za mbilimbi naomba mpite tu kimya kimya. Sitaki comment za upuuzi:teeth: